Pages

Labels

Saturday, January 14, 2012

mikocheni campus(turdaco)

chama la maangamizi likiwa lime poz kwaajili ya kupata picha ya pamoja mda mfupi kidogo kabla ya kukipiga na timu pinzani ya Kinondoni campus (turdaco) kwenye mashindano ya inter-collage campus Tumaini university league hivi leo majira ya sa 6 mchana.
mechi ilikuwa ni ngumu kiasi kutokana na ubora ulio oneshwa na timu zote mbili lakini mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa vijana wa mikocheni walikua kifua mbele kwa goli mbili kwa moja. ushindi huo umewapa tiketi ya kucheza fainali ambapo watakutana na kurasini campus hapo kesho mnamo majira ya sa 4 asubuhi kwenye viwanja vya TCC chang'ombe. 

0 comments:

Post a Comment