Pages

Labels

Thursday, August 23, 2012

Barcelona 3 Madrid 2

Barcelona wameendeleza ubabe wao kwenye super cup baada ya kuichapa Madrid goli 3 kwa 2. magoli ya barcelona yalifungwa na Pedro 55, Messi 69, Xavi 77 na yale ya madrid yalifungwa na Cristiano54, Dimaria 85.

0 comments:

Post a Comment