Pages

Labels

Thursday, August 16, 2012

UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI DHAIFU

ANTHONY MARO, RASKOMBE FARAJI, FRANCIS EVANCE, UNDERSON   DAVID NAD KRIS ARNO THE OFFICIAL

 Kwaheri mikocheni campus mwenge tuna kuja maangamizi yale yale
Hawa ndio marafiki wa ukweli kwa pamoja we made it to the second year. tulianza kama utani ivi bt mwaka ndo umeisha. wote kwa pamoja tuna washukuru wale wote tulioshirikiana nao kwa namna moja ama nyingine kusukuma gurudumu hili, thankx to our parents, teachers friends and colleges. together we can, MY GOD BLESS YOU ALL

0 comments:

Post a Comment