Pages

Labels

Sunday, June 10, 2012

kijana mwenye kipaji cha kubuni majengo na ramani zake

   PALU, mwenye t-shirt nyekundu (katikati) akiwa na wateja                maeneo ya bamaga (Dar es salaam)
      Hii ni moja ya kazi ya Palu, ni nyumba ya kisasa ya gorofa moja
               Anthony maro mteja aliye onekana kuvutiwa na kazi ya Palu.
 
Faraji Raskombe pia alipenda kupiga picha na moja ya kazi za Palu.

 Kijana mmoja aliye julikana kwa jina moja la Palu, mkazi wa kijitonyama ni mfano wa kuigwa kwani hutumia kipaji chake na kuwa mjasiriamali ingawa ana hitaji msaada zaidi ili aweze kufanya kazi yake kitaalamu zaidi. Palu hutumia mabox, karatasi pamoja na vitu vidogo vidogo vya namna hiyo na kubuni aina tofauti tofauti ya majengo pamoja ramani zake,
wateja wengi hununua kazi zake kwa kumpa moyo na hutumia kama mapambo nyumbani kwao na wengine huchukua kwa lengo la kuja kujenga majengo yenye muonekano huo. 
majengo haya pamoja na ramani zake hupatikana kwa bei rahisi,
kwa mawasiliano zaidi, 0718636856 


0 comments:

Post a Comment